Mrembo Viktoriya Gameeva anaelezwa kuwa huenda akawa daktari mpya wa Chelsea akichukua nafasi ya Eva Carnero.Gameeva ni daktari wa Spartak Moscow' ya Urusi na inaelezwa tayari ameshafanya mazungumzo na uongozi wa Chelsea.
Hii inatokana na mgogoro kati ya Kocha Jose Mouringo na daktari Carneiro ambaye alisimamishwa.Ingawa Chelsea haijatangaza rasmi lakini Gameeva ametupia picha kwenye mtandao wa Instagram akiwa amevaa jezi ya Chelsea hali ambayo inaongeza asilimia kwamba anatua darajani kuchukua nafasi ya Carneiro kama ambavyo imekuwa ikielezwa.
0 comments:
Post a Comment