Mshambuliaji mpya wa Simba, Kelvin Ndayisenga raia wa Burundi amesema anajiamini atakuwa msaada Simba.
Ndayisenga amefunga bao lake la kwanza jana wakati Simba ilipoivaa URA katika mechi ya kirafiki kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Ndayisenga amesema kwamba kikosi cha Simba kina mpangilio mzuri unaoweza kumpa nafasi ya kufanya vizuri.
“Simba ni timu nzuri na ina mpangilio bora, nikibaki hapa ninaamini nitafanya vizuri.
“Mimi ninajiamini nitakuwa msa mkubwa katika kikosi cha Simba alisema.
0 comments:
Post a Comment