Kiungo wa Manchester United Mjerumani Bastian Schweinsteiger amemshukuru kiungo mwenzie katika klabu hiyo Mbelgiji Marouane Fellaini kwa kukubali kumpa jezi namba 31.Kabla ya ujio wa Schweinsteiger jezi hiyo ilikuwa ikivaliwa na Marouane Fellaini ambaye alijiunga na Manchester United miaka miwili iliyopita akitokea klabu ya Everton.
Schweinsteiger, aliyeshinda mataji manane ya Bundesliga na moja la ligi ya mabingwa (Champions League) katika kipindi cha miaka 13 ya kuwa na Bayern,alikuwa akivaa jezi namba 31 na hivi karibuni amepewa jezi hiyo baada ya Fellaini kuitema kwa moyo mmoja.

Schweinsteiger "Nilifurahui sana kocha aliponipa jezi namba.31 na pia nilishangaa.

"Pia sante sana Felli.Jezi namba 31 ina maana kubwa sana kwangu"Alimaliza Schweinsteiger

0 comments:
Post a Comment