728x90 AdSpace

  • Latest News

    Monday, August 17, 2015

    VIDEO:KAMA UNADHANI MBUYU TWITE,RORY DELAP NDIYO NYOTA WANAOONGOZA KWA MIPIRA YA KURASHA ANDIKA UMEUMIA.KUTANA NA LJUBA BARANIN MWENYE UWEZO WA KURUSHA MPIRA ZAIDI YA MITA 50

    Binadamu tumejaliwa vipawa vingi sana na Mungu.Wapo wakimbiaji sana,wanyanyua vitu vizito na kadhalika.Ljuba Baranin yeye licha ya kuwa ni mlinzi mzuri na tegemeo katika klabu ya FK Radnik Surdulica ya Serbia pia nyota huyu amejaaliwa uwezo wa ajabu wa kurusha mipira.

    Baranin ana uwezo wa kurusha mpira zaidi ya mita 50.Uwezo wake huu umekuwa ukiipatia magoli mengi klabu yake lakini kwa klabu pinzani za Serbia hali imekuwa ni mbaya sana............tazama video hiyo!!
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: VIDEO:KAMA UNADHANI MBUYU TWITE,RORY DELAP NDIYO NYOTA WANAOONGOZA KWA MIPIRA YA KURASHA ANDIKA UMEUMIA.KUTANA NA LJUBA BARANIN MWENYE UWEZO WA KURUSHA MPIRA ZAIDI YA MITA 50 Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top