Dar es salam,Tanzania.
Klabu ya Yanga SC imetangaza kumsajili mlinzi wa kimataifa wa Togo Vincent Bossou,29 kwa mkataba wa miaka miwili.
Vincent Bossou aliyezaliwa February 7, 1986 huko Kara,Togo amesaini Yanga SC baada ya kufuzu majaribio aliyoyaanza mapema wiki iliyopita akiwa na kikosi hicho huko Tukuyu,Mbeya.
Ujio wa Bossou anayemudu vyema nafasi ya ulinzi wa kati ni kitendawili kwa walinzi wazama Nadir Haroub na Kelvin Yondani.
Hii ni orodha ya vilabu alivyowahi kuchezea Bossou kabla ya kusaini Yanga Sc
1997-2006 Maranatha F.C.
Years Team Apps
2006-2009 Maranatha F.C.
2010 ES Sahel
2010-2011 Maranatha F.C.
2011-2012 Navibank Sà i Gòn
2013 Becamex Bình Dương
2013 TDC Bình Dương
2014 An Giang
2015 Goyang Hi FC
0 comments:
Post a Comment