728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, August 14, 2015

    KAZI IPO LIGI KUU BARA:NDANDA FC NAYO YALETA MNIGERIA


    Wakati dirisha la usajili likitarajiwa kufungwa wiki ija Ndanda FC ya Mtwara ipo katika mazungumzo na kiungo mshambuliaji, Oziri Desmond, raia wa Nigeria, aliyeletwa nchini mmoja wa viongozi wa Yanga SC.

    Mchezaji huyo mwenye mwili uliojengeka kimazoezi, anafany majaribio na Ndanda FC chini y Kocha Ngawina Ngawina na kama ataliridhisha benchi la ufundi la timu hiyo, atafanikiwa kusa mkataba.

    Desmond amesema kuwa, mchezaji huyo ameunganisha kuja nchini kwa msaada wa Mene wa Yanga, Hafidh Saleh, baada kukutana naye katika mitandao ya kijamii.
    “Ninapenda mazingira ya Tanzan ingawa nina muda mfupi tangu nifike hapa.

     Awali sikuwa nikifahamu chochote kuhusu hap lakini ninamshukuru Hafidh Sal wa Yanga ndiye aliyenisaidia.
    “Aliniambia atanipeleka Mbeya City lakini ilishindikana, ing sifahamu nini kilikwamisha, nd akaamua kunileta huku (Ndanda) ambapo napo wamenipokea vizuri nina uhakika nitapata nafasi.

    “Saleh nilikutana naye katika mitandao, akaniambia nimtumie video zangu, nikafanya hivyo ndiyo akanifanyia mpango,” alisema Mnigeria huyo.

    Kabla ya kutua Ndanda, Mnigeri huyo amesema alicheza katika timu za Doan FC na Mayzz FC, zote Yemen, pamoja na Mighty Blackp ya Sierra Leone

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: KAZI IPO LIGI KUU BARA:NDANDA FC NAYO YALETA MNIGERIA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top