Baada ya kusitisha mpango wa kumsajili mshambuliaji wa Vital'O Laudit Mavugo klabu ya Simba SC imemsajili mshambuliaji Dany Lyanga toka klabu ya DC Motema Pembe ya Congo.
Lyanga ambaye aliwahi kuichezea klabu ya Coastal Union ya Tanga amesaini mkataba wa miaka miwili Simba SC na kufanya mpango wa kumsajili Laudit Mavugo kuwa umekufa rasmi baada ya klabu yake ya Vital'O kupandisha bei kutoka milioni 110 zilizokubaliwa awali mpaka milioni 200
0 comments:
Post a Comment