Dar es Salaam,Tanzania.
Baada ya klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba kufanya usajili kimya kimya na kwa usiri mkubwa, July 1 2016 walitangaza kocha wao mpya Mcameroon Joseph Omog na sasa wameamua kutangaza list ya wachezaji wao wote watakaowatumia katika msimu wa 2016/2017.
Kikosi Kamili
Magolikipa:
Vincent De Paul Angban
Peter Manyika
Denis Deonis
Beki wa kulia:
Hamadi Juma: Coastal Union
Salum Kimenya: Prisons
Beki wa kushoto:
Mohamed Hussein
Abdi Banda
Mabeki wa kati:
Novaty Lufunga
Juuko Murushid
Emmanuel Simwanza: Mwadui FC
Janvier Besala Bokungu
Viungo:
Jonas Mkude
Awadh Juma Foreign: Justice Majabvi
Saidi Ndemla
Mwinyi Kazimoto
Mzamiru Yassin: Mtibwa Sugar
Mohamed Ibrahim: Mtibwa Sugar
Mussa Ndusha
Winga:
Peter Mwalyanzi
Jamal Mnyate – Mwadui FC
Shiza Kichuya – Mtibwa Sugar
Hassan Kabunda – MwaduiFC
Washambuliaji:
Ibrahim Hajibu
Daniel Lyanga
Haji Ugando
Mbaraka Yusuf – Kagera Sugar
Laudit Mavugo – Vital’O (Burundi)
Blagnon Goue Frederic: Africa Sports (Ivory Coast)
Ame Ali – Azam FC
Wakati huohuo habari zilizotufikia zinadai Simba SC imemsajili Said Morad aliyemaliza mkataba wa kuitumikia klabu ya Azam FC ili kuziba nafasi ya Hassan Isihaka ambaye ameenda Mbao FC ya Mwanza mkopo.
0 comments:
Post a Comment