728x90 AdSpace

  • Latest News

    Saturday, August 08, 2015

    MOURINHO AONGEZA MIAKA MINNE ZAIDI CHELSEA,ASEMA MKATABA MPYA KWAKE SIYO ISHU SANA.

    London,England.

    Klabu ya Chelsea imemuongeza mkataba wa miaka minne kocha wake mkuu Mreno Jose Mouriho.

    Mourinho amesaini mkataba huo jana ijumaa Agosti 7.Mkataba huo unatarajiwa kufikia ukomo wake Juni 2019.

    Akiongea baada ya kusaini mkataba huo Mourinho amesema "Kama klabu inakuwa na furaha,na mimi nafuraha.Ni muhimu kuona hali hii ikiendelea kuwepo.Kusaini mkataba mpya kwangu siyo jambo geni.Kubwa ni kuhakikisha kila mmoja wetu anakuwa na furaha.klabu inahitaji mafanikio,wachezaji na mashabiki pia.

    "Wakati narejea klabuni hapa miaka miwili iliyopita nilisema klabu hii iko moyoni mwangu na hilo halijabadilika"

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MOURINHO AONGEZA MIAKA MINNE ZAIDI CHELSEA,ASEMA MKATABA MPYA KWAKE SIYO ISHU SANA. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top