Klabu ya Borussia Dortmund ikiwa chini cha kocha wake mpya Thomas Tuchel imeianza vyema ligi ya Bundesliga baada ya muda mfupi uliopita kuibuka na ushindi mkubwa wa goli 4-0 dhidi ya klabu ya Borussia Monchengladbach katika mchezo mkali uliopigwa katika dimba la Signal Iduna-Park.
Dortmund ambayo leo ilikuwa katika kiwango kizuri imepata magoli yake kupitia kwa Marco Reus (15'),Pierre Emerick Aubameyang (21') na Henrik Mkhitaryan (33', 50')
Matokeo mengine ya Bundesliga...
Augsburg 0-1Hertha Berlin
Bayer Leverkusen 2-1 Hoffenheim
Darmstadt 2-2
Hannover 96
Mainz 0-1 Ingolstadt
Werder Bremen 0-3
Schalke 04
0 comments:
Post a Comment