728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, August 05, 2015

    BALE AITUNGUA TOTTENHAM,MADRID IKISHINDA 2-0 AUDI CUP



    Munich,Ujerumani

    Gareth Bale alifunga goli moja na kuiwezesha timu yake ya Real Madrid kuibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya timu yake ya zamani ya Tottenham katika mtanange mkali wa kombe la Audi uliopigwa jana katika dimba la Allianz Arena,Ujerumani.

    Tottenham ambayo wikendi ijayo itakuwa na kibarua kigumu pale itakapovaana na Manchester United katika ufunguzi wa ligi kuu nchini England ilianza kuruhusu bao dakika ya 36 baada ya James Rodriguez kufunga kwa kichwa na kisha Bale kuongeza la pili dakika ya 79.


    Vikosi vilikuwa kama ifuatavyo.....

    Real Madrid (4-4-2): 

    Casilla; Danilo, Varane, Ramos (Nacho 68 minutes), Marcelo (Arbeloa 59); James (Vazquez 46), Modric (Illara 59) Kroos (Casemiro 46), Isco (Asensio 68); Bale (Mayoral 82), Jese (Cherychev 59).

    Unused subs: Carvajal, Pepe, Navas, Odegaard, Yanez.
    Goals: Rodriguez 36, Bale 79.
    Booked: Ramos.

    Tottenham: (4-2-3-1) 

    Vorm; Walker, Alderweireld, Wimmer (Vertonghen 46), Rose; Dier (Bentaleb 46), Alli (Winks 69); Lamela (Chadli 46), Dembele, Eriksen (Carroll 69); Kane (Onomah 86).

    Unused subs: Tripper, Fazio, Davies, Mason, McGee.
    Referee: Guenter Perl.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: BALE AITUNGUA TOTTENHAM,MADRID IKISHINDA 2-0 AUDI CUP Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top