Baada ya kufuzu vipimo vya afya alivyofanyiwa jijini Doha (Qatar) winga Angel Di Maria ameahidi kuifanyia makubwa klabu yake mpya ya Paris Saint Germain.
Akiongea muda mfupi na kituo cha bein Sport baada ya kupokea majibu ya vipimo vyake Di Maria amesema
"Ninachojua ni kuwa PSG ni klabu kubwa iliyotwaa vikombe vyote vikubwa Ufaransa.Ina mkusanyiko wa wachezaji nyota.
0 comments:
Post a Comment