Faridi Miraji , Dar es salaam.
MUNEZERO FISTON Beki wa wa kati kutoka klabu ya Rayon Sports ya Rwanda ametua nchini kwa ajili ya kujiunga na kikosi cha Simba SC. Kwa Habari kutoka ndani ya kamati ya usajili ya Simba Beki Munezero Fiston atacheza michuano ya Sportpesa baada ya michuano anaweza akaingia kandarasi.
0 comments:
Post a Comment