Faridi Miraji, Dar es salaam.
Timu yoyote inayoshiriki michuano ya Sports Pesa ipo huru kuongeza mchezaji yeyote ila asiwe wa ligi kuu ama sivyo awe tayari amekamilisha usajili wa klabu husika, kwa mantiki hiyo Ngassa hatoweza kukichezea kikosi cha Yanga katika michuano hiyo inayotaraji kuanza leo kwa Yanga kuwavaa Tusker FC ya kenya, saa 10 :15 jioni!
0 comments:
Post a Comment