728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, June 06, 2017

    Jang’ombe Boys yatupwa nje michuano ya SportPesa Super Cup


    Dar Es Salaam,Tanzania.

    TIMU ya Jang’ombe Boys ya visiwani Zanzibar imetupwa nje ya michuano mipya ya SportPesa Super Cup baada ya mchana wa leo kukubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Gor Mahia ya Kenya.

    Shujaa wa Gor Mahia katika mchezo wa leo alikuwa ni mshambuliaji wa Rwanda, Meddie Kagere aliyefunga mabao yote mawili.

    Kagere alifunga bao la kwanza katika dakika 64 kabla ya kuongeza bao la pili katika dakika ya 84 baada ya George ‘Blackberry” Odhiambo kuangushwa ndani ya boksi na beki mmoja wa Jang’ombe Boys.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Jang’ombe Boys yatupwa nje michuano ya SportPesa Super Cup Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top