Manchester,England.
MLINZI wa kimataifa wa Sweden,Victor Lindelof pichani akiwasili kwenye viunga vya uwanja wa mazoezi wa Carrington tayari kuanza zoezi la upimaji wa afya kabla ya kusaini kandarasi ya kujiunga na Manchester United kwa ada ya Paundi Milioni 30.7 akitokea Benfica ya Ureno.
Ikiwa zoezi la upimaji wa afya litaenda vizuri basi kati ya leo au kesho Lindelof mwenye umri wa miaka 22 atatangazwa kuwa mchezaji mpya wa Manchester United.
0 comments:
Post a Comment