
Wednesday, May 31, 2017

Mabingwa wa kombe la ASFC Simba Sc imecheza mchezo wa kirafiki Leo majila ya saa kumi huko katavi na Wenyeji wao Nyundo Fc ambopo Nyundo...
Zambia yaigonga 4-3 Ujerumani na kufuzu robo fainali kombe la dunia la U20
Wednesday, May 31, 2017
Jeju,Korea Kusini. TIMU ya taifa ya Zambia ya chini ya miaka 20,maarufu kama Young Chipolopolo imekuwa timu ya kwanza kutoka Afrik...
Taifa Starz kufanya mazoezi usiku
Wednesday, May 31, 2017
Faridi Miraji, Dar es salaam Timu ya mpira wa miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti kutoka Kampuni ya Bia ...
Dortmund,Psg zakubaliana ada ya Pierre-Emerick Aubameyang
Wednesday, May 31, 2017
Paris,Ufaransa. KLABU ya Borussia Dortmund ya nchini Ujerumani imekubali dau la £61m kutoka klabu ya Paris Saint-Germain ya nchi...
Wachezaji kufanyiwa uhakiki wa umri michuano AYL U-13
Wednesday, May 31, 2017
Dar Es Salaam,Tanzania.BAADA ya baadhi ya timu kutumia wachezaji waliozidi umri kwenye Ligi ya Azam kwa vijana wenye umri wa miaka 13 (AY...
Ederson aanza vipimo Man City,umiliki wa pande tatu kuchelewesha usajili wake
Wednesday, May 31, 2017
Manchester,England. KIPA wa Benfica ya Ureno,Ederson akiwa amejipumzisha kitini akisubiri kuanza kufanyiwa zoezi la upimaji afya kabla y...
Singida United yachomoa mmoja Toto Africans
Wednesday, May 31, 2017
Dar Es Salaam,Tanzania. SINGIDA United imeendelea kufanya kweli katika ujenzi wa kikosi chake tayari kwa kwa msimu mpya wa lig...
MAPEMA TU:Arsenal yamnasa mfungaji bora Ubelgiji,mshahara wa Shilingi Milioni 95 kwa wiki wamvuta Emirates
Wednesday, May 31, 2017
Brussels, Ubelgiji. MABINGWA wa kombe la FA nchini England,Arsenal wamekubali kutoa ada ya uhamisho ya £6.8m kwa ajili ya kumsaj...
Tuesday, May 30, 2017
Vita ya Makala , Manara amjibu Edo kumwembe Simba sio Wavulana
Tuesday, May 30, 2017
JICHO LA MWEWE AU LA KUKU?? _______________________________________ Edo Kumwembe Na:HAJI Manara Kuna uchokozi flani unaofanywa na baadhi...
Dola za Singida United zamnasa beki Mnyarwanda
Tuesday, May 30, 2017
Kigali,Rwanda. SINGIDA UNITED imeripotiwa kuwa iko mbioni kukamilisha usajili wa beki wa kulia wa APR ya Rwanda,Michael Ruseshan...
Azam FC yapandisha watano kikosi cha kwanza
Tuesday, May 30, 2017
Dar Es Salaam,Tanzania. KAMA ilivyo desturi ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC,tayari benchi la ufundi limefan...
MKWARA:Mavugo simhofii mshambuliaji yeyote mpya
Tuesday, May 30, 2017
Dar Es Salaam,Tanzania. MSHAMBULIAJI wa Simba, Laudit Mavugo,amesema hahofii ujio wa mshambuliaji yeyote mpya katika kikosi hich...
Al Ahly watwaa ubingwa wa 39 Misri
Tuesday, May 30, 2017
Cairo,Misri. MIAMBA wa soka wa Misri,Al Ahly wameendeleza umwamba wao kwenye ligi kuu ya nchi hiyo baada ya Jumatu usiku kutwaa ...
USAJILI:Atupelee Green atua Singida United
Tuesday, May 30, 2017
Paul Manjale,Dar Es Salaam. ALIYEKUWA mfungaji bora wa michuano ya Kombe la FA msimu uliopita,Atupelee Green amejiunga na wageni...
Monday, May 29, 2017
Huddersfield Town yapanda ligi kuu baada ya miaka 45
Monday, May 29, 2017
London,England. Huddersfield Town imepanda kucheza ligi kuu ya soka nchini England baada ya leo jioni kuifunga Reading kwa penati 4-3 ka...
Taifa Stars kwenda Misri kesho Jumanne,Jonas Mkude aenguliwa kikosini
Monday, May 29, 2017
Dar Es Salaam,Tanzania. Kikosi cha wachezaji 21 wa timu ya mpira wa miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachodhaminiwa na Kampuni ya Bia y...
Mapato mechi ya Yanga Sc Vs AFC yazua utata , Ngumi zalika
Monday, May 29, 2017
Faridi Miraji , Dar es salaam. Mchezo wa kirafiki kati ya Mabingwa wa Ligi Kuu Bara Yanga dhidi ya AFC Arusha...
Hatimaye Barcelona yampata mrithi wa Enrique
Monday, May 29, 2017
Barcelona,Hispania. HATIMAYE Barcelona leo imemtangaza kocha wa zamani wa Athletic Bilbao,Ernesto Valverde kuwa Kocha wake mkuu ...
MAKALA:Rais Malinzi na ajira zaidi ya 50,000 mezani kwake kwa ajiri yetu
Monday, May 29, 2017
Chiki Mchoma Ha ha ha ha haaaaaa... 🤣🤣🤣 Leo nimeona nianze na kicheko kirefu. Kuna watu kila kitu wao wanaon...
Marc-Andre Ter Stegen akubali miaka mitano Barcelona
Monday, May 29, 2017
Barcelona,Hispania. MLINDA Mlango wa Ujerumani,Marc-Andre ter Stegen amekubali mkataba mpya wa miaka mitano wa kuendelea kuitumi...
Subscribe to:
Posts (Atom)