London,England.
MSHAMBULIAJI wa Hispania,Diego Costa,ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa sita kuwahi kufikisha mabao 35 kwa haraka zaidi katika historia ya ligi kuu England baada ya jana Jumapili kufunga mabao mawili katika mchezo ulioisha kwa klabu yake ya Chelsea kulazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Swansea City huko Liberty Stadium.
Costa amefikia idadi hiyo ya mabao baada ya kucheza michezo 58 na kuwaacha kwa mbali Sergio Aguero wa Manchester City aliyefikisha idadi hiyo katika michezo 64 pamoja na Luis Suarez ambaye ilimchukua michezo 71 kufikia idadi hiyo wakati akiwa na Liverpool.
Orodha kamili ya wachezaji waliotumia muda mfupi zaidi kufikisha mabao 35 hii hapa
0 comments:
Post a Comment