Feyenoord,Uholanzi.
MICHUANO ya Europa Ligi ya hatua ya makundi inatarajiwa kuvurumishwa usiku wa Alhamis ya leo ambapo jumla ya vilabu 48 vitashuka katika viwanja 24 kusaka alama tatu muhimu.
Mabingwa wa zamani wa England, Manchester United,wamesafiri mpaka nchini Uholanzi kwenda kuvaana na wenyeji wao Feyenoord huku KRC Genk inayochezewa na Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta,ikiwa mgeni wa Rapid Vienna huko Austria.
Ratiba ya michuano yote ya leo iko kama ifuatavyo
Kundi A
Feyenoord v Man Utd
Zorya Luhansk v Fenerbahçe
Kundi B
Apoel Nic v FC Astana
BSC Young Boys v Olympiakos
Kundi C
FSV Mainz 05 v Saint-Étienne
Anderlecht v FK Qabala
Kundi D
AZ Alkmaar v Dundalk
M'bi Tel-Aviv v Zenit St P
Kundi E
Astra Giurgiu v FK Austria Vienna
Viktoria Plzen v Roma
Kundi F
Sassuolo v Ath Bilbao
Rapid Vienna v KRC Genk
Kundi G
Panathinaikos v Ajax
Standard Liege v Celta Vigo
Kundi H
Konyaspor v Shakt Donsk
Sporting Braga v KAA Gent
Kundi I
FC RB Salzb v FK Krasnodar
Nice v Schalke
Kundi J
FK Qarabag v Slovan Liberec
PAOK Salonika v Fiorentina
Kundi K
Inter Milan v Hapoel Be'er Sheva
Southampton v Sparta Prague
Kundi L
Osmanlispor v Steaua Buc
Villarreal v FC Zürich
0 comments:
Post a Comment