Rio de Janeiro
NEYMAR Jr amejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 18 kitakachoiwakilisha Brazil katika michuano ya Olympic inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi lake nchini humo kuanzia Agosti 5 mpaka 21mwaka huu.
Mbali ya Neymar Jr staa wa AS Lazio,Felipe Anderson,naye amejumishwa katika kikosi hicho pamoja na Kipa Mkongwe,Fernando Prass,ambaye amejumuishwa kwa mara ya kwanza akiwa na umri wa 37,
KIKOSI KAMILI
Makipa:Fernando Prass (Palmeiras),Uilson (Atletico-MG)
Mabeki: Marquinhos (PSG/FRA), Rodrigo Caio (Sao Paulo) Luan (Vasco da Gama),Willian (Internacional), Douglas Santos (Atlético-MG), Zeca (Santos)
Viungo: Walace (Gremio), Rodrigo Dourado (Internacional) Thiago Maia (Santos), Rafinha (Barcelona/ESP), Renato
Augusto (Beijing Ghouan/CHN), Felipe Anderson (Lazio/ITA)
Washambuliaji: Neymar (Barcelona/ESP), Gabriel
(Santos), Gabriel Jesus (Palmeiras), Luan (Gremio)
Kocha:Rogerio Micale
0 comments:
Post a Comment