Hekaheka za usajili zinaendelea kupamba moto Ulaya na Afrika tayari kwa msimu mpya wa ligi mbalimbali.
Soka Extra imeamua ikuletee mdau wake mpya za usajili uliokamilika siku ya jana jumatatu na leo jumanne asubuhi.Moja kati ya jina kubwa ni la mlinzi Rafael da Silva ambaye amejiunga na klabu ya Olympique Lyon akitokea klabu ya Manchester United.Rafael amesaini mkataba wa miaka minne wa kuitumikia miamba hiyo ya zamani ya Ufaransa.
Nyota wengine waliohamia vilabu vipya ni hawa wafuatao......
Zamora-Brighton
Sherman -Mpumalanga
Benalouane-Leceister City
Haysaj-Napoli
Varrejo-Real Madrid
Ngolo Kante-Leceister City
0 comments:
Post a Comment