728x90 AdSpace

Friday, August 14, 2015

BAADA YA KUCHAPANA MAKONDE NA MLINZI WA UWANJA,WANCHOPE ABWAGA MANYANGA KUINOA COSTA RICA




Kocha wa Costa Rica, Paul Wanchope ameamua kuachia ngazi.

Wanchope ameachia ngazi baada ya kuzichapa kavukavu na mlinzi kwenye Uwanja wa Panama wakati timu ya nchi yake chini ya miaka 23 ilipokuwa ikicheza mechi ya kufuzu Olimpiki.
Mlinzi alipinga Wanchope kufungua moja ya geti na kuvunja utaratibu.

Akamvamia na kuanza kumpiga, Wanchope ambaye aliwahi kung;ara akiwa na Derby County na Manchester City naye akajibu mashambulizi.

Lakini amezungumza na waandishi na kuthibitisha kweli ameamua kuachia ngazi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: BAADA YA KUCHAPANA MAKONDE NA MLINZI WA UWANJA,WANCHOPE ABWAGA MANYANGA KUINOA COSTA RICA Rating: 5 Reviewed By: Unknown