Dar Es Salaam,Tanzania.
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars leo usiku mishale ya saa 2:00 itashuka kwenye Uwanja wa Chamazi,Dar Es Salaam kuvaana na timu ya Taifa ya Lesotho kwenye mchezo wa kwanza wa kuwania tiketi ya kushiriki michuano ya Afrika (AFCON) itakayofanyika mwaka 2019 nchini Cameroon.
Kikosi cha Taifa Stars leo hii kitawakilishwa na
1.Aishi Manula
2.Shomari kapombe
3.Gadiel Michael
4.Abdi Banda
5.Salim Mbonde
6 Himidi Mao
7.Msuva Saimon
8.Muzamiru Yassini
9.Thomasi Ulimwengu
10.Mbwana Samatta
11.Shiza Kichuya
0 comments:
Post a Comment