Liverpool,Uingereza.
SADIO Mane (Pichani) akiwa ameshika tuzo yake ya mchezaji bora wa mwezi Agosti (Chartered player of the month award) wa Liverpool.
Mane,24,ametwaa tuzo hiyo baada ya kuonyesha kiwango kizuri katika michezo miwili ya mwanzo ya klabu hiyo.Akifunga mabao katika mchezo dhidi ya Arsenal na Burton Albion.
0 comments:
Post a Comment