Wilfried Zaha (Crystal Palace)
London,England.
KAMA ilivyo kawaida kwa mtandao wako wa Soka Extra kukuletea wachezaji 11 waliofanya vizuri zaidi katika michezo ya mwisho wa juma ligi kuu England.
Leo tena tunakuletea wacheza 11 waliofanya vizuri zaidi wikendi iliyoisha Jana Jumapili.Kikosi hiki ni kwa msaada wa mtandao wa The Mirror wa England.
Kikosi Kamili
Kipa:Artur Boruc (Bournemouth)
Mabeki:Adam Smith (Bournemouth),Joel Matip (Liverpool),Nicolas Otamendi (Manchester City) na Ben Davies (Tottenham)
Viungo: Wilfried Zaha (Crystal Palace),Santi Cazorla (Arsenal),Kevin De Bruyne (Manchester City)
Washambuliaji:Heung-min Son (Tottenham),Roberto Firmino (Liverpool) na Diego Costa (Chelsea)
0 comments:
Post a Comment