Dar Es Salaam,Tanzania.
PICHANI KULIA mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe akimkabidhi zawadi ya gari aina ya Toyota Raum mlinzi wa kushoto wa klabuhiyyo Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ kama asante ya utumishi wake mwema katika klabu hiyo.
Mbali ya zawadi hiyo pia Hans Poppe amemkabidhi Tshabalala kitita cha shilingi milioni moja ambacho ni maalumu kwa ajili ya kununulia mafuta ya gari hilo kwa kipindi cha miezi sita.
0 comments:
Post a Comment