728x90 AdSpace

Thursday, September 01, 2016

HAWA NDIYO WACHEZAJI 38 WALIOIHAMA CHELSEA KWA MKOPO MSIMU HUU

Loic Remy - Crystal Palace

London,Uingereza.

DIRISHA la usajili barani Ulaya limefungwa rasmi jana Jumatano Usiku.Klabu ya Chelsea imeripotiwa kuwa ndiyo klabu iliyotoa wachezaji wake wengi zaidi kwa mkopo kuliko vilabu vyote.

Ifuatayo ni orodha ya wachezaji 38 waliyoihama Chelsea kwa mkopo katika dirisha lililopita la usajili.

Tammy Abraham - Bristol City
Nathan Ake - Bournemouth
Bekanty Victorien Angban - Granada
Christian Atsu - Newcastle
Baba Rahman - Schalke, Germany
Lewis Baker - Vitesse Arnhem, Holland
Patrick Bamford - Burnley
Nathan Baxter -Metropolitan Police
Mitchell Beeney - Crawley 
Jamal Blackman -Wycombe 
Jeremie Boga - Grenada, Spain
Isaiah Brown - Rotherham
Andreas Christensen - Borussia
Monchengladbach, Germany 
Jake Clarke-Salter - Bristol Rovers
Charlie Colkett - Bristol Rovers
Dion Conroy - Aldershot 
Juan Cuadrado - Juventus 
Cristian Cuevas - Sint-Truidense, Belgium
Alex Davey - Crawley 
Matej Delac - Royal Excel Mouscron, Belgium
Islam Feruz - Royal Excel Mouscron, Belgium
Michael Hector - Eintracht Frankfurt, Germany
Jordan Houghton - Doncaster 
Tomas Kalas - Fulham
Kenedy - Watford
Alex Kiwomya - Crewe 
Matt Miazga - Vitesse Arnhem
Charly Musonda - Real Betis, Spain
Nathan - Vitesse Arnhem, Holland
Kenneth Omeruo - Alanyaspor, Turkey
Kasey Palmer - Huddersfield
Danilo Pantic - Excelsior, Holland
Mario Pasalic - AC Milan
Lucas Piazon - Fulham 
Loic Remy - Crystal Palace
Jhoao Rodriguez - Independiente Sante Fe,Colombia
Bertrand Traore - Ajax, Holland
Wallace - Gremio, Brazil



  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: HAWA NDIYO WACHEZAJI 38 WALIOIHAMA CHELSEA KWA MKOPO MSIMU HUU Rating: 5 Reviewed By: Unknown