London,Uingereza.
KLABU ya Chelsea leo imetoa namba mpya ambazo zitavaliwa na wachezaji wake katika msimu huu mpya wa 2016/17.
Katika namba hizo mpya mlinzi mpya wa klabu hiyo Mbrazil,David Luiz,aliyejiunga na klabu hiyo Jumatano usiku kwa dau la £38m kutoka Paris Saint-Germain amepewa jezi namba 30 badala ya namba 4 aliyokuwa akiivaa hapo nyuma.Kwa sasa jezi namba 4 inavaliwa na Mhispania,Cesc Fabregas.
Mlinzi mwingine mpya wa klabu hiyo Mhispania,Marcos Alonso,amepewa jezi namba 3 ambayo hapo kabla ilikuwa ikivalia na mlinzi wa zamani wa kimataifa wa England,Ashley Cole.
KIKOSI CHA WAKUBWA
1. Asmir Begovic
2. Branislav Ivanovic
3. Marcos Alonso
4. Cesc Fabregas
5. Kurt Zouma
7. N'Golo Kante
8. Oscar
10. Eden Hazard
11. Pedro
12. John Mikel Obi
13. Thibaut Courtois
15. Victor Moses
19. Diego Costa
21. Nemanja Matic
22. Willian
23. Michy Batshuayi
24. Gary Cahill
26. John Terry
28. Cesar Azpilicueta
29. Nathaniel Chalobah
30. David Luiz
37. Eduardo
Marcos Alonso
KIKOSI CHA UNDER-21
14. Ruben Loftus-Cheek
33. Fikayo Tomori
34. Ola Aina
41. Dominic Solanke
42. Bradley Collins
0 comments:
Post a Comment