Uyo,Nigeria.
UWANJA wa Akwa Ibom Stadium uko Uyo,Akwa Ibom,Nigeria.Ndiyo uwanja unaotumiwa na timu ya taifa ya nchi hiyo kwa ajili ya michezo yake ya nyumbani.
Uwanja huu wenye uwezo wa kuchukua watazamani 30,000 una jumla ya eneo la ukubwa wa hekta 36.3.Ulianza kutumika Novemba 7,2014 na umeigharimu serikali ya Nigeria Dola Millioni 96.Umejengwa na Kampuni ya ujenzi ya Julius Berger na unashabihiana kwa karibu na uwanja wa Allianz Arena unaomilikiwa na klabu ya Bayern Munich.
0 comments:
Post a Comment