
Saturday, February 27, 2016

Kigali,Rwanda. APR ikiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Amahoro jijini Kigali, leo imeitandika Mbabane kutoka Swaziland kwa mabao 4-0 katika ...
REAL MADRID YATOTA NYUMBANI YANYUKWA 1-0 NA ATLETICO MADRID
Saturday, February 27, 2016
Madrid,Hispania. Real Madrid imeshindwa kuutumia vyema uwanja wake wa nyumbani wa Santiago Bernabeu baada ya kukubali kichapo cha bao 1-...
KUELEKEA MCHEZO WA JUMAPILI DHIDI YA ARSENAL,VAN GAAL AJA NA GOOD NEWS KUHUSU DE GEA.
Saturday, February 27, 2016
Manchester,England. Kocha wa Manchester United Louis van Gaal anaamini mlinda mlango namba moja wa klabu hiyo David De Gea atakuwa lango...
ARSENAL KUMPIGA BEI ALEX OXLADE CHAMBERLAIN
Saturday, February 27, 2016
London,England. Arsenal inafikiria kumpiga bei winga wake Muingereza Alex Oxlade-Chamberlain wakati wa dirisha lijalo la usajili barani ...
SIASIA AKABIDHIWA MIKOBA YA OLISEH NIGERIA
Saturday, February 27, 2016
Lagos,Nigeria. Chama cha soka cha Nigeria [NFF] kimemteua Samson Siasia kuwa kocha mkuu wa timu yake ya taifa kufuatia kujiuzuru kwa ali...
INFANTINO NDIYE RAIS MPYA WA FIFA
Saturday, February 27, 2016
Zurich,Uswisi. Katibu Mkuu wa zamani wa UEFA,Gianni Infantino amekuwa Rais wa tisa wa FIFA, baada ya kushinda uchaguzi uliofanyika jana ij...
Friday, February 26, 2016
HII HAPA KIKOSI BORA CHA WIKI CHA EUROPA LIGI
Friday, February 26, 2016
RAIS MPYA FIFA KUPATIKANA LEO
Friday, February 26, 2016
Shirikisho la soka duniani Fifa litampta kiongozi mpya leo wajumbe 207 watakapokusanyika mjini Zurich, Uswizi kumchagua mrithi wa Sep...
SDL KUMALIZIKA WIKENDI HII
Friday, February 26, 2016
Ligi Daraja la Pili (SDL) inatarajiwa kumalizika wikiendi hii kwa michezo 12 kuchezwa katika makundi ya A, B, C & D katika viwanja ...
SUNDAY OLISEH ABWAGA MANYANGA KUIFUNDISHA SUPER EAGLES
Friday, February 26, 2016
.Lagos,Nigeria. Sunday Oliseh ametangaza kubwaga manyanga kuifundisha timu ya taifa ya Nigeria maarufu kama Super Eagles. Oliseh ambaye al...
Thursday, February 25, 2016
CHELSEA NOMA YATENGA KITITA KIKUBWA KUNUNUA MAJEMBE MANNE MAPYAAA KIANGAZI
Thursday, February 25, 2016
London,England. Kwa mujibu wa gazeti la Sun mmiliki wa Chelsea Mrusi Roman Abramovich atamkabidhi kitita cha £130 millioni kocha mpya aj...
KISA MASCHERANO!!CHAMBERLAIN NJE ARSENAL,HATI HATI KUKOSA MICHUANO YA EURO
Thursday, February 25, 2016
London,England. Winga wa Arsenal Muingereza Alex Oxlade-Chamberlain huenda akakaa nje ya uwanja kwa kipindi kisichojulikana kufuatia jer...
MAN CITY YATAMBA ULAYA YAITWANGA KIEV 3-1 UGENINI
Thursday, February 25, 2016
Kiev,Ukraine. Manchester City imejiweka katika mazingira mazuri ya kusonga mbele hadi hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ba...
Wednesday, February 24, 2016
MARTIN JOL KOCHA MPYA AL AHLY
Wednesday, February 24, 2016
Cairo,Misri. Vinara wa ligi kuu ya Misri klabu ya Al Ahly leo wamemtangaza Mdachi Martin Jol kuwa Kocha wao mpya. Jol aliyewahi kuvinoa ...
VPL:AZAM FC YASHINDWA KUKAA KILELENI,YABANWA NA PRISONS SOKOINE
Wednesday, February 24, 2016
Mbeya,Tanzania. Azam FC imeshindwa kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya leo jioni kulazimishwa sare ya bila kufung...
JOSE MOURINHO ADAI BADO YUKO GIZANI
Wednesday, February 24, 2016
Singapore Jose Mourinho amesema bado yuko gizani kuhusu uwezekano wa siku moja kuwa kocha wa Manchester United lakini anaamini atarudi ...
Saturday, February 20, 2016
TP MAZEMBE YAPANIA TAJI JINGINE,INAVAANA NA ETOILE DU SAHEL LEO KUWANIA SUPER CUP
Saturday, February 20, 2016
Lubumbashi,Congo. Mabingwa wa ligi ya mabingwa Afrika TP Mazembe inayochezewa na Mtanzania Thomas Ulimwengu leo jioni itashuka katika di...
Thursday, February 18, 2016
HIKI HAPA KIKOSI BORA CHA WIKI CHA LIGI YA MABINGWA ULAYA
Thursday, February 18, 2016
MKENYA MICHAEL OLUNGA 'INJINIA' APATA TIMU ULAYA
Thursday, February 18, 2016
Sweden Ndoto ya mshambuliaji Mkenya Michael Olunga kucheza soka la kulipwa imetimia baada ya leo kusaini mkataba wa miaka minne kuichez...
THIAGO ALCANTARA AMTOSA PEP GUARDIOLA
Thursday, February 18, 2016
Munich,Ujerumani. Kiungo wa Bayern Munich Muhispania Thiago Alcantara ameziita kuwa ni uzushi mkubwa taarifa zilizoenea kuwa ataungana n...
MAPENZI YA JINSIA MOJA YAMPONZA MANNY PACQUIAO,NIKE YAVUNJA NAE MKATABA
Thursday, February 18, 2016
Marekani. Kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo ya Nike imetangaza kuvunja mkataba wa kibiashara na bondia Manny Pacquiao ukiwa ni ...
KAMA ZALI MWANANGU!!PETER CECH AUKARIBIA UNAHODHA ARSENAL
Thursday, February 18, 2016
London,England. Kwa mujibu wa gazeti la Daily Mirror habari zinasema kocha wa Arsenal Mfaransa Arsenal Wenger anafikiria kumteua mlin...
LA LIGA:BARCA YAINYUKA GIJON 3-1,MESSI AWEKA REKODI MPYA HISPANIA
Thursday, February 18, 2016
Gijon,Hispania. FC Barcelona imeendelea kujichimbia kileleni mwa ligi daraja la kwanza nchini Hispani [La Liga] baada ya usiku wa leo ku...
Wednesday, February 17, 2016
WATFORD YAKUBALI KUMUACHIA IGHALO MWISHONI MWA
Wednesday, February 17, 2016
Watford,England. Odion Ighalo Klabu ya Watford imeripotiwa kuanza ku...
PACQUIAO AWAKERA MASHOGA,WASAGAJI AOMBA RADHI
Wednesday, February 17, 2016
Mwanamasumbwi Manny Pacquiao amelazimika kuomba radhi kutokana na upinzani mkubwa alioupata kutoka kwa wale wanaounga mkono uhusiano ya j...
CRISTIANO RONALDO JEURI BHANA!!
Wednesday, February 17, 2016
Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ameondoka kwa hasira katika katika chumba cha mahojiano baada ya kuulizwa juu ya rekodi y...
UNAIKUMBUKA ILE ISHU YA VILABU VYA DARAJA LA KWANZA KUPANGA MATOKEO??SASA TFF YAJA NA HILI
Wednesday, February 17, 2016
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi ya Ligi (Kamati ya Saa 72) imekutana jana (Februari 16, 2016) kupitia taarifa za mechi mbili za Kundi...
UCL:CAVANI ATOKEA BENCHI NA KUIPA USHINDI PSG,CHELSEA IKILALA 2-1,BENFICA YAINYUKA ZENIT 1-0 LISBON.
Wednesday, February 17, 2016
Paris,Ufaransa. Michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya hatua ya 16 bora ilianza kutimua vumbi lake jana jumanne kwa michezo miwili kup...
Tuesday, February 16, 2016
HII KALI!!MASHABIKI FC BARCELONA WAMUOMBA MESSI AMSAIDIE MASCHERANO
Tuesday, February 16, 2016
Barcelona,Hispania. MSAADA!!Mashabiki wa FC Barcelona wamemuomba Lionel Messi ikitokea timu imepata penati basi ampe Javier Mascherano a...
TFF YAWEKA HADHARANI VIINGILIO SIMBA,YANGA
Tuesday, February 16, 2016
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo limetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) Jumamosi kati ya watani w...
NICKY BUTT AULA MAN UNITED
Tuesday, February 16, 2016
Manchester,England. Klabu ya Manchester United imemteua kiungo wake wa zamani Nicky Butt kuwa mkuu wake mpya wa shule yake ya kunoa vi...
TANZIA:MSANII WA KIZAZI KIPYA JOHN WALKER AMEFARIKI DUNIA
Tuesday, February 16, 2016
Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye alijipatia umaarufu mkubwa kwa staili yake ya kuimba kama mlevi, Joni Woka amefariki dunia . A...
SIMBA YAENDELEA KUKOMAA NA SAMATTA
Tuesday, February 16, 2016
Klabu ya Soka ya Simba nchini Tanzania iko katika mazungumzo yanayoendelea vema ili iweze kupata mgao wake baada ya aliyekuwa mchezaj...
STRAIKA ALIYEITESA YANGA KAGAME AJINADI KWA ARSENE WENGER
Tuesday, February 16, 2016
Nairobi,Kenya. Unamkumbuka Michael Olunga yule Straika wa Gor Mahia aliyeifanyia kitu kibaya Yanga katika michuano ya Kagame mwaka...
CHELSEA YAONGEZA SURA MPYA TAYARI KUIVAA PSG LEO KATIKA LIGI YA MABINGWA ULAYA
Tuesday, February 16, 2016
London,England. Kocha wa muda wa Chelsea Mdachi Guus Hiddink amelazimika kuwajumuisha makinda Matt Miazga na Jake Clarke-Salter katika ...
Monday, February 15, 2016
TFF YASIKITISHWA KUPIGWA KWA MWANDISHI
Monday, February 15, 2016
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko taarifa ya kupigwa kwa mwandishi wa habari za michezo wa gazeti l...
TFF YAIPONGEZA AFRICAN LYON BAADA YA KUREJEA LIGI KUU BARA
Monday, February 15, 2016
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeipongeza timu ya African Lyon FC ya jijini Dar es salaam kwa kufanikiwa kupanda ligi ku...
LIVERPOOL YAANZA MAPEMA USAJILI WA MSIMU MPYA YANASA BUREEEE JEMBE TOKA UJERUMANI
Monday, February 15, 2016
JOEL MATIP amekubali kujiunga na Liverpool mwishoni mwa msimu huu baada ya kuripotiwa kusaini mkataba wa awali utakaomfanya atue Anfie...
ISIKIE KAULI YA KOCHA WA LECEISTER CITY BAADA YA KUFUNGWA NA ARSENAL
Monday, February 15, 2016
Claudio Ranieri amesema kutolewa kwa Simpson kumeigharimu Leicester City lakini vinginevyo ushindi ulikuwa wao leo Meneja wa Leicester ...
LIGI KUU YA CHINA YAZIDI KUNOGA OBAFEMI MARTINS NAE NDANI.
Monday, February 15, 2016
Shanghai,China. Ligi kuu nchini China imeendelea kuwa kivutio kwa nyota wengi wa soka duniani baada ya leo hii Straika Mnigeria Obafemi...
BARCA YAIFANYIMA UNYAMA CELTA VIGO YAINYUKA 6-1,SUAREZ APIGA HAT -TRICK
Monday, February 15, 2016
Barcelona,Hispania. Barcelona imeendelea kujikita kileleni mwa ligi ya La Liga baada ya kuinyuka Celta Vigo kwa mabao 6-1 katika mchezo ...
Subscribe to:
Posts (Atom)