Yohan Cabaye,29:Amejiunga na klàbu ya Crystal Palace akitokea klabu ya PSG kwa ada ya £10m
Emanuel Okwi,22:Amejiunga na klabu ya Sonderjysk akitokea Simba SC kwa ada ambayo haijawekwa wazi.
Steven Nzonzi,26:Amejiunga na klabu ya Sevilla akitokea Stoke City kwa ada ya £7m.
Yevhen Konoplyanka,24.Amejiunga na klabu ya Sevilla akitokea klabu ya Dnipro ya Ukraine kwa uhamisho huru.
Siobhan Chamberlain,31.Amejiunga na klabu ya Notts County kwa mkopo akitokea klabu ya wanawake ya Arsenal.
Nadir Ciftci,23:Amejiunga na klabu ya Celtic akitokea Dundee United kwa ada ya £1.5m
Luciano Vietto,21:Amejiunga na klabu ya Atletico Madria akitokea klabu ya Villarreal kwa €25m.
Asamoah Gyan,29:Amejiunga na klabu ya Shanghai SIPG ya China akitokea klabu ya Al-Ain kwa ada ambayo haijatajwa.
0 comments:
Post a Comment