
Wednesday, September 30, 2015

London,England. Klabu ya Chelsea imeripotiwa kuwa imemfanyia majaribio kipa wa zamani wa AC Milan Marco Amelia kabla ya kumsajili hivi kari...
HATARI SANA:FLUMINENSE YAMTEMA RONALDINHO KISA ZOMEA ZOMEA YA MASHABIKI
Wednesday, September 30, 2015
Fluminense imevunja mkataba na Ronaldinho ikiwa ni miezi miwili tu tangu nyota huyo wa zamani wa dunia ajiunge na klabu hiyo akiwa kama mc...
UBABE UBABE TU:MWAMUZI APIGWA TEKE,KOFI AJIBU KWA KUTOA BUNDUKI UWANJANI
Wednesday, September 30, 2015
BURUDANI.Mwamuzi mmoja wa soka nchini Brazil ameingia matatani baada ya kuonyesha kitako cha bunduki aina ya bastola kama ishara ya kujili...
Tuesday, September 29, 2015
MAPYA YAIBUKA SIMBA BAADA YA KICHAPO CHA YANGA JUMAMOSI
Tuesday, September 29, 2015
MAPYA yameibuka ndani ya Simba baada ya kuelezwa kuwa kikosi cha timu hiyo kilipanguliwa mara tatu kabla ya kucheza na Yanga katika mche...
MAKALA:NYOSSO ANAHITAJI MSAADA,HUKUMU SIYO SULUHU YA TABIA CHAFU
Tuesday, September 29, 2015
Paul Manjale Inaitia moyo kuona wadau mbalimbali wa soka nchini wakiungana na kulaani vikali vitendo vya kidhalilishaji anavyoendele...
KUMEKUCHA:NYOTA WATATU YANGA HAOOOO ULAYA
Tuesday, September 29, 2015
KLABU ya Yanga imepokea ofa ya kuuza wachezaji wake watatu kutoka katika nchi za Bara la Asia na Ulaya baada ya klabu kadhaa za nchi hiz...
LUKAKU AIBEBA EVERTON NYUMBANI KWA WEST BROM,YARUDIA REKODI YA MWAKA 1994
Tuesday, September 29, 2015
Hawthorns, West Brom Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1994,Everton imetoka nyuma na kuibuka na ushindi katika mchezo wa ligi kuu nchini E...
LIGI YA MABINGWA KUENDELEA TENA LEO JUMANNE:CHELSEA IKO URENO KUIVAA PORTO,ARSENAL IKO EMIRATES,RATIBA NA MUDA WA MECHI ZOTE HAPA
Tuesday, September 29, 2015
3:45 Arsenal v Olympiakos 3:45 Barcelona v Bayer Leverkusen 3:45 BATE Borisov v Roma 3:45 Bayern Munich v Dinamo Zagreb 3:45 FC Porto v ...
Monday, September 28, 2015
DI NATALE:NINI NEYMAR?MAMBO YOTE ALEXIS SANCHEZ
Monday, September 28, 2015
Udinese,Italia. Antonio Di Natale ameufungua moyo wake na kusema kuwa Alexis Sanchez wa Arsenal ni zaidi ya Neymar Jr wa FC Barcelona. ...
PICHA:TAZAMA JINSI ANELKA,LUCIO,MALOUDA NA MASTAA KIBAO WALIVYONOGESHA UZINDUZI WA MSIMU MPYA WA LIGI YA INDIA
Monday, September 28, 2015
Pichani:Elano, Helder Postiga, Lucio, John Arne Riise, Florent Malouda, Sanchez Watt, Adrian Mutu, Simao na Nicolas Anelka wakiwa katik...
AMERUDI:COQUELIN KAMILI,KUIVAA OLYMPIACOS KESHO LIGI YA MABINGWA
Monday, September 28, 2015
London,England. Kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa wa Ulaya dhidi ya Olympiacos ya Ugiriki,Arsenal imeripotiwa kupata ahueni baada ya k...
KISA KICHAPO CHA JUZI,SIMBA YAMSHTAKI NKONGO TFF
Monday, September 28, 2015
UONGOZI wa klabu ya Simba jana umeliandikia barua Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)kumlalamikia mwamuzi wa mchezo wao wa Jumamosi dhidi ...
HIGUAIN:USIPOMWAMBIA RONALDO YEYE NI BORA HAWI RAFIKI YAKO KAMWE
Monday, September 28, 2015
Amefunguka.Mshambuliaji raia wa Argentina anayekipiga katika klabu ya FC Napoli ya Italia Gonzalo Higuain ameanzisha vita vya maneno na n...
BAADA YA NYOSO KUMDHALILISHA BOCCO,MALINZI AJA JUU
Monday, September 28, 2015
September 27 katika mechi kati ya Azam FC dhidi ya Mbeya City mchezo uliochezwa katika uwanja wa Azam Complex Mbande Chamazi , nah...
KIKOSI BORA CHA WIKI EPL TOTTENHAM YATAWALA,CHELSEA,CITY CHALI.
Monday, September 28, 2015
London,England. Kwa mujibu wa kituo cha ESPN hiki ndicho kikosi cha wachezaji (XI) waliofanya vizuri wikendi iliyopita katika ligi ya EPL....
Sunday, September 27, 2015
REKODI:LEWANDOWSKI AFIKISHA MABAO 100 BUNDESLIGA
Sunday, September 27, 2015
Munich,Ujerumani. Robert Lewandowski ameendelea kuonyesha kuwa yeye ni mshambuliaji mkali duniani baada ya hapo jana kuiongoza Bayer Munic...
LICHA YA KUFUNGA BAO MOJA BAADA YA DAKIKA 640,HARRY KANE NDIYE KINARA WA MABAO EPL
Sunday, September 27, 2015
London,England. HAFAI.Mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane ndiye mchezaji aliyefunga mabao mengi zaidi kuliko mchezaji yoyote yule katika ...
PIGO BARCELONA:MESSI NJE MIEZI MIWILI,KUIKOSA EL CLASSICO NOVEMBA 21
Sunday, September 27, 2015
Barcelona,Hispania. Barcelona imepata pigo baada ya nyota na nahodha wake Lionel Messi kupata jeraha la goti katika mguu wake wa kushoto j...
EL MERREIKH YAIZIMA TP MAZEMBE 2-1NUSU FAINALI AFRIKA,ULIMWENGU ATUPIA AKITOKEA BENCHI
Sunday, September 27, 2015
Merreikh,Sudan. Magoli mawili ya Bakri Babeker na Francis Coffie yameiwezesha El Merreikh Kuibuka na ushindi wa magoli 2-1dhidi ya TP Maze...
MASIKINI JUVENTUS YAENDELEA KUWA KIBONDE ITALIA,YAGONGWA NA NAPOLI,IMEVUNA POINTI TANO TU KATIKA MECHI SITA
Sunday, September 27, 2015
Napoli,Italia. Juventus imeendelea kuwanyong'onyesha mashabiki wake baada ya usiku wa kuamkia leo kukubali kichapo cha mabao 2-1 toka ...
Saturday, September 26, 2015
CHELSEA CHUPU CHUPU KWA NEWCASTLE,YACHOMOA USIKU USIKU
Saturday, September 26, 2015
Magoli mawili ya mwishoni mwa kipindi cha pili yaliyofungwa na viungo Ramires na Willian yameipatia Chelsea sare ya bao 2-2 dhidi ya Newca...
SPEED 160:YANGA YAIFUMUA SIMBA 2-0 U/TAIFA,TAMBWE,BUSUNGU WAPELEKA KILIO MSIMBAZI,KIIZA AZIMWA
Saturday, September 26, 2015
Dar es salaam,Tanzania. Yanga FC imeendelea kujichimbia kileleni mwa ligi kuu Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi y...
WAMEFULIA:MAN CITY YADUNDWA 4-1 NA SPURS,HARRY KANE AFUNGUA BAADA YA DAKIKA 640 ZA UKAME
Saturday, September 26, 2015
London,England. WAMEFULIA!!Hii ndiyo kauli rahisi unayoweza kuitumia kuielezea klabu ya Manchester City kwasasa baada ya leo mchana kukubal...
TWITE: JAMANI KILA SIKU TUNAFUNGWA SISI TU, NIMECHOKA AISEEE
Saturday, September 26, 2015
Beki kiraka wa Yanga, Mbuyu Twite amesema amechoshwa kufungwa na Simba kila mara, hivyo leo vyovyote itakavyokuwa ni lazim timu yake ishin...
KUELEKEA MCHEZO DHIDI YA YANGA LEO TAIFA,SIMBA SC YAJA NA GOOD NEWS"
Saturday, September 26, 2015
KLABU ya Simba SC itaanza kuwapa tuzo wachezaji wake kila mwezi, ili kuongeza morali katika kikosi cha timu hiyo kinachoshiriki Ligi Kuu y...
SEPP BLATTER MATATANI TENA FIFA
Saturday, September 26, 2015
Rais wa shirikisho la soka duniani Fifa Sepp Blatter anachunguzwa na viongozi wa mashtaka nchini Uswizi. Ofisi ya mwanasheria mkuu wa seri...
KOCHA LIVERPOOL ANA SIKU KUMI TU ZA KUOKOA KIBARUA CHAKE
Saturday, September 26, 2015
Meneja wa klabu ya soka ya Liverpool Brendan Rodgers atakua na siku kumi ngumu za kibarua chake katika timu hiyo, hayo yamesemwa na mlinzi...
Friday, September 25, 2015
HII NDIYO TIMU YA EPL AMBAYO PELE ANASEMA ANGEICHEZEA IWAPO UMRI UNGEMRUHUSU
Friday, September 25, 2015
London,England. Mfalme wa soka duniani Pele amesema angetamani kuichezea Arsenal badala ya vilabu vingine vya ligi kuu ya nchini Engla...
HAWA HAPA VINARA WA MABAO EPL
Friday, September 25, 2015
TOP SCORERS Player Goals Apps R. MAHREZ Striker Leicester City 4 5 B. GOMIS Striker Swansea City 4 5 C. WILSON Striker AFC Bo...
Subscribe to:
Posts (Atom)