728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, June 04, 2017

    Ronald afikisha magoli mia sita , 600




    Baada ya Jana kuisaidia timu yake ya Real Madrid kubeba kombe la Uefa Champions league Kwa kufunga mabao mawili,  hatimaye Christian Ronaldo amefikisha Jumla ya mabao mia sita aliyoyafunga kwenye timu nne (4) Sporting Lisbon mabao matano (5) Manchester United mabao mia moja kumi na nane (118), Real Madrid mia nne na sita (406) na timu ya taifa mabao sabini na moja (71) 


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Ronald afikisha magoli mia sita , 600 Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top