Faridi Miraji , Dar es salaam.
DEAL DONE Beki wa zamani wa African Lyon Yusuph Mpilipili tayari amesaini kuitumika timu ya Simba SC ya Dar akitokea toto African ya Mwanza. Mpilipili mchezaji anayeweza kucheza beki ya kati na Pembeni namba mbili amesaini Kandarasi ya miaka miwili Simba, Mpilipili ataanza kuitumikia Simba kwenye michuano ya Sportpesa inayoanza Kesho Huku Simba wakiaanza Jumanne mechi dhidi ya Nakuru all Stars.
Credit.: Picha na Boiplus.
0 comments:
Post a Comment