Paris,Ufaransa.
LIGI ya mabingwa wa Ulaya maarufu kama Uefa Champions League inatarajiwa kuanza kutimua vumbi lake leo Jumanne Septemba 13,2016 kwa michezo minane kuchezwa katika viwanja mbalimbali barani humo.
Ligi hiyo pia itaendelea tena kesho Jumatano Septemba 14,2016 kwa michezo mingine minane kuchezwa.Michezo yote itaanza saa 9:45 Usiku.
Jumanne Septemba 13,2016
Kundi A
Basel v Ludogorets Razgrad
Paris Saint-Germain v Arsenal
Kundi B
Benfica v Besiktas
Dynamo Kiev v Napoli
Kundi C
Barcelona v Celtic
Man City v Borussia Monchengladbach
Kundi D
Bayern Mun v FC Rostov
PSV Eindhoven v Atl Madrid
Jumatano Septemba 14,2016
Kundi E
Bayer Levkn v CSKA
Tottenham v Monaco
Kundi F
Legia War v Bor Dortmd
Real Madrid v Sporting
Kundi G
Club Brugge v Leicester
FC Porto v FC Copenhagen
Kundi H
Juventus v Sevilla
Lyon v Dinamo Zagreb
0 comments:
Post a Comment