728x90 AdSpace

Friday, June 02, 2017

Malinzi "Head to Head" kuamua bingwa msimu ujao


Rais wa soka nchini Tanzania ndugu Jamali Malinzi Leo amepitisha kanuni mpya ya mashindano ambapo bingwa wa ligi kuu kuanzia Msimu ujao kama ikitokea timu kufungana point basi bingwa ataamuliwa kwa Head to head yaani jinsi walivyokutana kutegemea na matokeo waliyoyapata
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Malinzi "Head to Head" kuamua bingwa msimu ujao Rating: 5 Reviewed By: Unknown