Dodoma,Tanzania.
SIMBA SC imechomoza na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Polisi Dodoma katika mchezo wa kirafiki uliochezwa jioni ya leo katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Katika mchezo huo uliokuwa maalumu kwa ajili ya kuiaga serikali inayohamia Dodoma,Simba imejipatia mabao yake kupitia kwa Abdi Banda na Said Ndemla.
0 comments:
Post a Comment