Shinyanga,Tanzania.
KOCHA wa Yanga SC,Mholanzi,Hans Van Pluijm, ametangaza kikosi cha wachezaji 11 ambacho jioni ya leo kitashuka katika Uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga kucheza na Mwadui FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL).
Katika kikosi hicho nahodha na beki mkongwe wa klabu hiyo Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amerejeshwa benchi na nafasi yake imechukuliwa na Kevin Yondan ambaye hakupata nafasi ya kuanza katika michezo miwili iliyopita dhidi ya Ndanda FC na Majimaji FC.
Kikosi Kitakachoanza
1. Ally Mustafa ‘Barthez’
2. Juma Abdul,
3. Mwinyi Hajji
4. Andrew Vicent
5. Kevin Yondan
6. Mbuyu Twite
7. Simon Msuva
8. Thabani Kamussoko
9. Amissi Tambwe
10. Donald Ngoma
11. Deus Kaseke.
Akiba
12. Nadir Haroub ‘Cannavaro’
13. Juma Mahadhi
14. Deo Munishi ‘Dida’
15. Oscar Joshua
16. Haruna Niyonzima
17. Obrey Chirwa
18. Yussuf Mhilu.
0 comments:
Post a Comment