728x90 AdSpace

Thursday, June 01, 2017

Habari picha, Taifa Starz yaanza mazoezi Usiku Misri




Timu ya Tanzania taifa Stars Imeanza mazoezi Rasmi jana usiku kujianda na mchezo wa kundi L dhidi ya Lesotho wa  kufuzu AFCON 2019. Taifa Stars imeweka kambi ya siku nane nchini Misri na itarejea Tanzania june 8 tayari Kwa mechi June 10 uwanja wa Azam Complex saa 2 usiku .




  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Habari picha, Taifa Starz yaanza mazoezi Usiku Misri Rating: 5 Reviewed By: Unknown