Dar Es Salaam,Tanzania.
LIGI kuu ya Vodacom Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea tena wikendi hii kwa timu kumi kushuka katika viwanja vitano vya miji mbalimbali nchini kuwania alama tatu muhimu.
Leo Jumamosi jumla ya timu nane zitashuka dimbani katika viwanja vinne na kesho Jumapili ligi hiyo itaendelea kwa mchezo mmoja pekee kuchezwa.Michezo yote itaanza saa 10:00 Jioni.
Ikumbukwe michezo hii ni ya raundi ya tatu.Vilabu vya Simba,Yanga na Azam FC havitacheza wikendi kutokana na kuwa na wachezaji wengi katika timu ya taifa.
Ratiba Kamili
Jumamosi 3/9/2016
Kagera Sugar v Mwadui FC
Majimaji FC v Mtibwa Sugar
Mbao FC v Mbeya City CCM
JTK Ruvu v African Lyon
Jumapili 4/9/2016
Stand United vs Toto Africans
0 comments:
Post a Comment