Cairo,Misri
Wakati michuano ya Afcon ikitarajiwa
kuanza kutimua vumbi lake mwezi Januari mwakani nchini Gabon,vilabu vingi vinavyoshiriki
ligi kuu Uingereza (EPL) vimeanza kuingiwa mchecheto kutokana na wachezaji wao
wengi kuwa katika mipango ya timu zao za taifa tayari kwa michuano hiyo mikubwa
zaidi Afrika.
Erick Bailly-Manchester United
Wafuatao ni wachezaji ambao mwezi
Januari watakuwa na timu zao za taifa katika michuano ya AFCO.
Bailly, Manchester United – Ivory
Coast
Toure, Manchester City – Ivory
Coast
Traore, Middleborough – Mali
Boufal, Southampton – Morocco
Djilobodji, Sunderland – Senegal
Lamine Kone-Sunderland
Khazri, Sunderland – Tunisia
Kone, Sunderland – Ivory Coast
Ndong, Sunderland – Gabon
Bony, Stoke City – Ivory Coast
Diouf, Stoke – Senegal
Sobhi, Stoke – Egypt
Amrabat, Watford – Morocco
Dja Djedje, Watford – Ivory Coast
Guediora, Watford – Algeria
Nyom, West Brom – Cameroon
Adam Traore-Middlesbrough
Ayew, A, West Ham – Ghana
Feghouli, West Ham – Algeria
Kouyate, West Ham – Senegal
Sakho, West Ham – Senegal
Bofya hapa kufahamu mengi: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3777578/From-Riyad-Mahrez-Eric-Bailly-stars-Premier-League-sides-lose-Africa-Cup-Nations.html#ixzz4JbYOWufL
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
0 comments:
Post a Comment