
Friday, September 30, 2016

Dar Es Salaam,Tanzania. Uongozi wa Yanga unapenda kuwatangazia wanachama,mashabiki na wapenzi kuwa klabu bado haijatoa jezi rasmi za kuva...
KWA HIZI SIFA ZA OZIL KWA IWOBI MBONA SHEEEDAH!!
Friday, September 30, 2016
London, Uingereza. USIOMBE kusifiwa,tena na mtu anayejua kusifia,mbona utajuta na Usipokuwa makini unaweza ukavimba kichwa ukajiona tayar...
KUSAKA TIKETI KOMBE LA DUNIA:GIROUD,BENZEMA NJE KIKOSI CHA UFARANSA
Friday, September 30, 2016
Paris,Ufaransa. WAFARANSA hawataki ujinga safari hii.Wanaitaka mapema tiketi ya kuwemo kwenye michuano ya kombe la dunia la mwaka 2018 hu...
MAGAZETI YA LEO IJUMAA SEPTEMBA 30,2016
Friday, September 30, 2016
SAMATTA ATOKEA BENCHI GENK IKIPATA USHINDI WA KWANZA EUROPA LIGI
Friday, September 30, 2016
Genk,Ubelgiji. KRC GENK inayochezewa na Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania,Mbwana Ally Samatta,imepata ushindi wake wa kwanza katika mic...
Thursday, September 29, 2016
BALOTELLI ATUPIA TENA NICE IKIGONGWA 5 EUROPA LIGI
Thursday, September 29, 2016
Kuban,Urusi. MARIO Balotelli ameendelea kuonyesha kuwa alifeli Liverpool kwa bahati mbaya tu na si kwamba kiwango kilikwisha,hii ni baada y...
MKWASA ATAJA 24 WA KUIVAA ETHIOPIA,KIPAO APETA TENA
Thursday, September 29, 2016
Dar Es Salaam,Tanzania. Kocha Mkuu wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania (Taifa Stars), Charles Boniface Mkwasa ametaja majina ya nyota 2...
UEFA YAANIKA 40 WANAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA KIJANA,RASHFORD,IWOBI WAMO
Thursday, September 29, 2016
Manchester,England. SHIRIKISHO la soka barani Ulaya,UEFA,leo limetoa orodha ya wachezaji 40 watakaochuana kuwania tuzo ya mchezaji bora w...
Taarifa kutoka Simba Sc kwa Vyombo vya Habari na Mashabiki wake
Thursday, September 29, 2016
Dar Es Salaam,Tanzania. Klabu ya Simba inayo furaha kubwa ya kutangaza kumshukuru mlezi wake bwana Mohammed Dewji kwa kuanza kutekeleza a...
YANGA YAJA NA JIPYA KUHUSU SUALA LA KESSY
Thursday, September 29, 2016
Dar Es Salaam,Tanzania. SIKU mbili kabla ya mechi ya watani wa jadi kupigwa kwenye Dimba la Taifa, Dar Es Salaam, Yanga imepiga hodi Simb...
HII NDIYO SABABU ILIYOFANYA ARSENAL WAVAE JEZI ZA UGENINI NYUMBANI LIGI YA MABINGWA ULAYA JANA JUMATANO
Thursday, September 29, 2016
London, Uingereza. UKIACHANA na ushindi mnono wa mabao 2-0 iliyoupata nyumbani dhidi ya FC Basel kwenye mchezo wake wa kundi A wa michuan...
HAMIS KIIZA NA FREE STATE YAKE MAMBO MAGUMU SAUZI WADUNDWA TENA
Thursday, September 29, 2016
Orkney,Afrika Kusini. Free State Stars ya Afrika Kusini inayochezewa na mshambuliaji wa zamani wa Simba SC Mganda,Hamis Kiiza 'Diego,...
MAGAZETI YA LEO ALHAMIS SEPTEMBA 29,2016
Thursday, September 29, 2016
Wednesday, September 28, 2016
MANJI AIPA YANGA EKARI 715 IJENGE UWANJA WA KISASA
Wednesday, September 28, 2016
Dar Es Salaam,Tanzania. MWENYEKITI wa Yanga SC, Yussuf Manji ameipa klabu hiyo kongwe nchini eneo la Ekari 715 ufukweni mwa Bahari ya Hi...
Yaya Toure:Uamuzi wa Fifa utawaumiza wachezaji na mashabiki
Wednesday, September 28, 2016
Manchester, Uingereza. Kiungo wa Manchester City, Yaya Toure amesema wachezaji na mashabiki wanaweza kuumia kufuatia hatua ya Shirikisho ...
MWANASOKA AKAMATWA NA KETE 22 ZA DAWA ZA KULEVYA
Wednesday, September 28, 2016
Port Louis,Mauritius. MLINDA MLANGO wa kimataifa wa Mauritius,Joseph Kinsley Steward Leopold,ametiwa nguvuni na wanausalama wa nchi hiyo ...
MESUT OZIL AKUBALI KANDARASI MPYA ARSENAL KWA MASHARTI MAKUBWA MAWILI
Wednesday, September 28, 2016
London, Uingereza. KIUNGO wa Ujerumani ,Mesut Ozil,ameripotiwa kukubali kusaini kandarasi mpya ya miaka mitatu ya kuendelea kuitumikia kl...
DIDIER KAVUMBAGU ATUA KWA MASHETANI WEKUNDU WA ETHIOPIA
Wednesday, September 28, 2016
Addis Ababa,Ethiopia. MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Burundi aliyewahi kutamba nchini kwa nyakati tofauti akiwa na vilabu vya Yanga na Azam...
LIGI YA MABINGWA ULAYA:ARSENAL,BARCELONA VIWANJANI LEO,FAHAMU RATIBA,MATOKEO NA WAFUNGAJI WA MICHEZO YA JANA
Wednesday, September 28, 2016
London,England. BAADA ya michezo minane kuchezwa jana Jumanne Usiku,ligi ya mabingwa barani Ulaya maarufu kama UEFA Champions League itae...
SAANYA APEWA RUNGU SIMBA,YANGA OCTOBA MOSI
Wednesday, September 28, 2016
Dar Es Salaam,Tanzania. Shirikisho la Soka nchini, TFF limewateua waamuzi watakaosimamia pambano la kwanza la watani wa jadi la msimu huu...
MAGAZETI YA LEO JUMATANO SEPTEMBA 28,2016
Wednesday, September 28, 2016
Subscribe to:
Posts (Atom)