
Sunday, January 31, 2016

London,England. Nahodha John Terry ametangaza kuachana na Chelsea mwishoni mwa msimu huu baada ya klabu hiyo ya London kugoma kumpa mka...
RAUNDI YA TANO FA CUP:MABINGWA ARSENAL WAPANGWA NA HULLCITY,CHELSEA USO KWA USO NA MAN CITY,DROO KAMILI IKO HAPA.
Sunday, January 31, 2016
London,England. Droo ya michezo ya raundi ya tano ya kombe la Emirates FA Cup imefanyika usiku huu.Ifuatayo ni ratiba kamili ya michuano...
EMIRATES FA CUP:CHELSEA YAIPIGA MTU 5-1,OSCAR APIGA HAT TRICK YA KWANZA,HAZARD AONA MWEZI
Sunday, January 31, 2016
London,England. Chelsea imeungana na vilabu vya Arsenal,Manchester City na Manchester United kutinga hatua ya tano ya michuano ya kombe ...
MAMA YASSODA AFUNGA KOZI YA MAKOCHA WANAWAKE
Sunday, January 31, 2016
Dar es salaam,Tanzania. Mkurugenzi Msaidizi wa Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mama Juliana Yassoda leo amefunga kozi ya u...
AZAM FC YATAKATA ZAMBIA,YAWATOA NISHAI WAZIMBABWE SASA YAHITAJI USHINDI MMOJA TU ITWAE UBINGWA
Sunday, January 31, 2016
Ndola,Zambia. Klabu ya Azam FC imeendelea kuwa mwiba mkali huko Zambia katika michuano ya kimataifa inayoendelea nchi humo baada ya jana...
SUAREZ AMWAGA WINO KUICHEZEA WATFORD
Sunday, January 31, 2016
Watford,England. Klabu ya Watford imeendelea kujiimarisha baada ya kumsajili kiungo Muhispania Mario Suarez toka Fiorentina kwa ada ya p...
Saturday, January 30, 2016
CHELSEA YASAJILI BEKI MMAREKANI
Saturday, January 30, 2016
London,England. Klabu ya Chelsea imeendelea kujiimarisha baada ya leo kumsajili mlinzi Matt Miazga toka New York Red Bulls ya Marekani k...
LIGI KUU BARA:SIMBA IKO DAR,YANGA TANGA,RATIBA NZIMA YA LEO NA KESHO IKO HAPA
Saturday, January 30, 2016
Dar es salaam,Tanzania. Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa michezo saba kuchezwa katika viwanja to...
PATO AMWAGA WINO CHELSEA MPAKA MWISHO WA MSIMU,MMAREKANI AFUATIA
Saturday, January 30, 2016
London,England. Mshambuliaji Alexander Pato amejiunga na Chelsea kwa mkopo wa miezi sita akitokea Corinthias ya nyumbani kwao Brazil. Pa...
MAN UNITED KIDEDEA FA CUP,YAITANDIKA DERBY 3-1 NA KUTINGA HATUA YA TANO
Saturday, January 30, 2016
Derby,England. Manchester United imetinga hatua ya tano ya michuano ya kombe la FA baada ya jana usiku kuilaza Derby kwa mabao 3-1 katik...
ADIDAS,REAL MADRID ZAJIANDAA KUFANYA KUFURU
Saturday, January 30, 2016
Madrid,Hispania. KUFURU!!Hii ndiyo kauli rahisi zaidi unayoweza kuitumia kuuelezea mkataba unaotarajiwa kusainiwa kati ya kampuni ya kut...
Friday, January 29, 2016
ADIDAS,REAL MADRID ZAJIANDAA KUFANYA KUFURU
Friday, January 29, 2016
ADIDAS,REAL MADRID ZAJIANDAA KUFANYA KUFURU
Friday, January 29, 2016
SAMATTA ASAINI MIAKA MINNE GENK
Friday, January 29, 2016
Genk,Ubelgiji. Klabu ya Genk ya UbelgijiWa kimefanikiwa kumsajili mshambuliaji Mtanzania Mbwana Samatta kwa mkataba wa miaka minne (2016...
MALOUDA ATUA LIGI KUU YA MISRI
Friday, January 29, 2016
Cairo,Misri. Winga wa zamani wa Chelsea Mfaransa Florent Malouda amesaini mkataba wa miezi sita wa kuichezea Wadi Degla FC inayokipiga k...
NEMANJA VIDIC ASTAAFU SOKA
Friday, January 29, 2016
Manchester, England. Mlinzi wa zamani wa Manchester United Mserbia Nemanja Matic amestaafu soka ikiwa ni siku chache tangu atemwe na Int...
MAN UNITED KUMSAJILI STRAIKA MNIGERIA KABLA YA JUMATATU USIKU
Friday, January 29, 2016
Manchester, England. Manchester United inajiandaa kufanya usajili wa dakika za mwisho kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili barani Ul...
FA CUP:MAN UNITED DIMBANI LEO,ARSENAL,LIVERPOOL,MAN CITY KESHO,CHELSEA JPILI,RATIBA NZIMA IKO HAPA
Friday, January 29, 2016
Ijumaa Januari 29 Derby v Man Utd ( Jumamosi Januari 30 Colchester v Tottenham (9:45) Arsenal v Burnley (12:00) Aston Villa v Man City B...
Subscribe to:
Posts (Atom)