728x90 AdSpace

Tuesday, January 12, 2016

JONJO SHELVEY ATUA NEWCASTEL UNITED

Newcastle,England.

Newcastle United imeendelea kulitendea haki dirisha la usajili la mwezi januari baada ya jioni hii kumsajili kwa mkataba wa miaka mitano na nusu kiungo Jonjo Shelvey toka Swansea City kwa ada ya £12m.

Shelvey,23 anakuwa ni mchezaji wa pili kujiunga na Newcastle United baada ya jana Msenegal Henry Saviet naye kumwaka wino wa kuichezea miamba hiyo ya St James Park akitokea Bourdeax.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: JONJO SHELVEY ATUA NEWCASTEL UNITED Rating: 5 Reviewed By: Unknown