Lubumbashi,
Wachezaji wa Stand United ya Shinyanga, beki Abuu Ubwa (kulia) na winga Haroun Chanongo (kushoto) wakiwa na jezi za TP Mazembe Uwanja wa Mazembe mjini Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) jana baada ya kuanza majaribio yao ya
wiki moja kuwania kujiunga na mabingwa hao wa Afrika.
0 comments:
Post a Comment