728x90 AdSpace

Sunday, January 03, 2016

NYOTA WAWILI WA STAND UNITED WATUA TP MAZEMBE KWA MAJARIBIO

Shinyanga,Tanzania.

Klabu ya TP Mazembe imewachukua kwa majaribio ya wiki mbili nyota wawili wa Stand United kiungo Haruna Chanongo na mlinzi Abuu Ubwa.

Ikiwa nyota hao watafaulu majaribio hayo watajiunga moja kwa moja na mabingwa hao wa Afrika kwa ajili ya msimu mpya.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: NYOTA WAWILI WA STAND UNITED WATUA TP MAZEMBE KWA MAJARIBIO Rating: 5 Reviewed By: Unknown