Roma,Italia.
Klabu ya AS Roma imemtangaza Luciano Spalletti kuwa kocha wake mpya baada ya jumatano ya wiki hii kumtimua kazi Rudi Garcia kufuatia kuwa na mwenendo mbaya.
Spalletti amerejea tena AS Roma baada ya kuifundisha kuanzia mwaka 2005 mpaka mwaka 2009.
Garcia alitimulia kazi kufuatia AS Roma kuwa na mwenendo mbaya katika ligi ya Seria A ikishuka mpaka nafasi ya tano huku ikiwa nyuma ya vinara Napoli kwa pointi saba.
0 comments:
Post a Comment