London,England.
Droo ya michezo ya raundi ya tano ya kombe la Emirates FA Cup imefanyika usiku huu.Ifuatayo ni ratiba kamili ya michuano hiyo itakayopigwa kati ya Februari 19 na 22.
Chelsea v Manchester City
Reading v West Brom/Peterborough
Watford v Leeds United
Shrewsbury Town v Manchester United
Blackburn Rovers v Liverpool/West Ham
United
Tottenham v Crystal Palace
Arsenal v Hull City
Bournemouth v Everton
0 comments:
Post a Comment