Watford,England.
Man City imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Watford ikiwa ugenini. Lakini ililazimika kusubiri hadi dakika ya 82 kwa bao safi la shuti la la Yaya Toure
aliyeunganisha krosi.
Dakika ya 85, Kun Aguero naye alifunga bao la pili kwa kichwa huku mabeki wa
Watford wakiwa wametegeana. Kabla
Watford walikuwa wamepata bao la katika dakika ya 55 baada ya Kolarov wa Man City kujifunga.
0 comments:
Post a Comment