Dar es salaam,Tanzania.
Mshambuliaji wa Simba SC Ibrahim Hajib wiki hii anatarajiwa kwenda Lubumbashi Kongo kufanya majaribio katika klabu ya TP Mazembe.
Hajib amepata nafasi hiyo baada ya TP Mazembe kuvutiwa na uwezo wake wa kufumania nyavu anaoendelea kuuonyesha akiwa na Simba SC.
Mbali ya Hajib kiungo wa
Mtibwa Sugar ya Morogoro,
Mohammed Ibrahim naye yuko katika mpango wa kwenda kujaribiwa Mazembe.
0 comments:
Post a Comment